JURGEN KLOPP ASISITIZA KUTOMTUMIA PHILIPPE COUTINHO,ASEMA LITAKUWA JAMBO AMBALO ALIINGII AKILINI

LIVERPOOL, ENGLAND - SEPTEMBER 07: (THE SUN OUT, THE SUN ON SUNDAY OUT) Philippe Coutinho of Liverpool during a training session at Melwood Training Ground on September 7, 2017 in Liverpool, England. (Photo by Andrew Powell/Liverpool FC via Getty Images)
Share this

Baada ya dili lake la kutua katika klabu ya Barcelona kukwama kiungo wa kibrazil Philippe Coutinho amerejea mazoezini katika klabu yake ya Liverpool baada ya kumaliza majukumu ya kuitumikia nchi yake katika mechi za kufuzu kombe la dunia huku akiwa mmoja ya wachezaji ambao walipata nafasi ya kucheza ingawaje hapo awali ilisemekana ni majeruhi.

Philippe Coutinho has yet to feature for Liverpool this term due to injury and Barcelona interest

Sasa kuelekea Mchezo wa jumamosi kati ya Liverpool na Man City,Kovha Jurge Klopp amesisitiza kuwa ayupo tayari kumtumia mchezaji huyo ingawaje alikuwa katika kikosi cha Brazil,Klopp amesema kuwa amekuwa na mawasiliano mazuri na Coutinho tangu aliporejea kutoka katika mechi za kimataifa na anaonekana yuko fiti baada ya mazoezi ya leo na inawezekana pia kumtumia katika mechi dhidi ya Man city lakini kocha huyo alisisitiza kuwa itakuwa sio jambo la msingi.

 

Coutinho was all smiles on his return to training as he shares a joke with Alberto MorenoLiverpool boss Klopp revealed the creative force will not likely be playing this weekendWith Liverpool manager Jurgen Klopp looking on in the background, Coutinho stretchesHe was put through his paces again on Thursday as he returned to training with LiverpoolCoutinho is unlikely to play for Liverpool against Manchester City on Saturday due to injury

Dondosha comments


Share this