KIPIGO KUTOKA KWA MAYWEATHER KIMEMFANYA Mc GREGOR KUJIANIKA JUANI HUKO LAS VEGAS

Share this

Baada ya kupokea kipigo kizito kutoka kwa Floyd Mayweather bondia Conor McGregor yuko mapumzikoni kwa sasa mjini Las Vegas, Marekani Agosti 26,Nyota huyo wa UFC ameamua kupumzisha akili yake baada ya kipigo cha KO katika raundi ya 10 kutoka kwa Mayweather wiki mbili zilizopita kwa kwenda kujianika juani na familia yake.


McGregor ameposti kwenye akaunti yake ya Instagram picha kadhaa akifurahia maisha na mwanawe wa kiume, Conor Jr mpenzi wake Dee Devlin na dada yake Aoife.
Wakati huo huo kwa mujibu wa kocha wa McGregor John Kavanagh mbabe huyo wa Ireland anaweza kurejea kwenye ulingo wa UFC mwaka 2018 kwa kupigana na Nate Diaz.

McGregor is currently soaking up the sun with girlfriend, Dee Devlin (right),  son, Conor Jnr and sister, Aiofe (left)

In this Instagram photo, Conor Jnr can be seen donning a Hugo Boss cap in the sunThe King: Conor Jnr relaxes in the middle sunbed with his parents either side of him

Dondosha comments


Share this