KOCHA ALIYEIFUNGA BARCELONA GOLI 7 AKUBALI KUIFUNDISHA TENA BAYERN MUNICH

Share this

Timu ya Bayern Munich imemtangaza kocha Juupp Heynckes kuwa kocha wao mpaka mwisho wa msimu huu,Kocha huyo anaxhukua nafasi ya Carlo Ancellotti ambaye alifukuzwa siku chache nyuma baada ya matokeo mabovu waliyo yapata katika kombe la klabu bingwa ulaya dhidi ya PSG

Image result for jupp heynckes

Heynckes hapo awali aliwahi kuifundisha Bayern kwa miaka tofauti na mara ya mwisho ilikuwa mwaka 2013 baada ya kuiwezesha klabu hiyo kubeba vikombe vitatu kwa mpigo na kuamua kusaafu kufndisha mpira kabla ya kukubali kuja kuokoa jahazi la bayern ambao mpaka sasa wapo nafasi ya nne katika msimamo wa Bundesliga

Image result for jupp heynckes

Dondosha comments


Share this