KUELEKEA KUANZA USIKU WA CHAMPIONS LEAGUE HAYA NDIO MAMBO USIYO YAFAHAMU

Share this

Klabu bingwa ulaya inarudi tena siku ya kesho pale ambapo itazikutanisha baadhi ya vilabu mbalimbali sasa kuelekea hatua ya makundi nimekuwekea baadhi ya historia fupi ambazo zimetokea huko nyuma na vinaweza kuvunjwa

Mchezaji mdogo zaidi kuwahi kucheza katika hatua ya makundi ya ya Chamapions League: Alicheza mechi yake ya kwanza akiwa na umri wa miaka 16 na siku 87 – Celestine Babayaro (akiitumikia Anderlecht ambao walitoka 1-1 vs Steaua Bucureşti, 23 November 1994)

Image result for celestine babayaro

•Mchezaji mdogo zaidi kuwahi kufunga katika hatua ya makundi: Miaka 17 na siku 195 – Peter Ofori-Quaye (Rosenborg 5-1 Olympiacos, 1 October 1997)

Image result for peter ofori-quaye ghana

•Mchezaji mwenye umri mkubwa zaidi kuwahi kucheza katika hatua ya makundi ya UCL ni Marco Ballotta: miaka 43 na siku 253 mnamo 11 December 2007).

Image result for marco ballotta


•Francesco Totti ana rekodi ya kuwa mfungaji wa goli katika hatua ya makundi mwenye umri mkubwa zaidi. Alifunga goli vs CSKA Moscow mnamo November 25, 2014 – akiwa na miaka 38 na siku 59.

Image result for francesco totti

Dondosha comments


Share this