KWA MUJIBU WA TAKWIMU LIONEL MESSI NDIYE MCHEZAJI TISHIO KWA SASA DUNIANI,UNA MAONI GANI KATIKA HILI

Share this

Kiwango cha mshambuliaji nyota wa FC Barcelona, Lionel Messi, kiko “on fire” mpaka sasa
Messi amecheza mechi tisa za La Liga na kufanikiwa kufunga mabao 11 lakini amefunga mabao 15 katika michuano yote ikiwa ndiyo mwanzo tu wa msimu.
Takwimu zinaonyesha msimu huu ndiyo bora zaidi kwa Messi kuanza kuliko mingine yote tokea ajiunge na FC Barcelona.
Tayari ameishacheza mechi mbalimbali za michuano kama La Liga, Super Cup ya Hispania na Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Mwendo huo wa Messi unamfanya kuwa ndiye mshambulizi tishio zaidi katika kipindi hiki.
Mpinzani wake, Cristiano Ronaldo wa Real madrid anaonekana kutokuwa na mwanzo mzuri.

Dondosha comments


Share this