LEBRON JAMES NA STEPHEN CURRY NI VITA YA WAFALME WA FEDHA NBA FINAL

Share this

Image result for stephen curry and lebron james fight

Katika miaka mitatu mfululizo wababe wakila kanda za NBA nchini Marekani hapa nawazungumzia Golden state warriors na Cleveland Cavaliers wanakutana katika mechi saba za kumtafuta bingwa wa NBA mwaka 2017.

Mwaka 2015 Golden state warriors waliibuka na ubingwa wa NBA,Huku mwaka 2016 Cavaliers wakalipiza kisasi kwa kuifunga warriors na kubeba ubingwa wa NBA.

After his finest season to date in 2013, Curry left Nike and signed a deal with Under Armour

Sasa kuelekea mchezo huo ambao unawakutanisha wachezaji wakubwa kwa sasa katika mchezo wa kikapu nchini marekani na dunia nzima hao ni Stephen Curry na Lebron James ambao wamezaliwa katika mji mmoja wa OHIO nchini Marekeni lakini ni mahasimu wa kutupwa hasa baada ya kila mmoja kuchezea katika timu tofauti.

Wachezaji hao ambao kila mmoja ana uwezo tofauti katika mchezo wa kikapu huku Stephen Curry akisifika kwa uwezo wake wa kufunga kwa mipira mirefu na chenga za maudhi akiwepo uwanjani huku akiwa ni mtu wa utani mwingi na kufurahia mchezo huo.Kwa upande wa James kwake ni tofauti kidogo yeye nasifika kwa uwezo wake wa kupenya ngome ya wapinzani huku akitumia umbo lake kubwa na nguvu alizokuwa nazo,anasifika pia kwa uwezo wake mkubwa wa kufunga magoli ya kudunk na uwezo wa kufanya rebound kutokana na umbo lake,lakini Lebron anaonekana ni mtu ambaye yupo makini sana si kama Curry ambaye ni mtu wa utani mwingi awapo uwanjani.

Stephen Curry has become one of basketball's most illustrious names at Golden State Warriors

Uhasama kati ya Stephen Curry na LeBron James ulianza mwaka 2013 baada ya Curry kuachana na mkataba kutoka kwa kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo NIKE na kuingia mkataba na kampuni nyingine ya kutengeneza vifaa vya michezo maarufu kama ANDER ARMOUR mkataba ambao ulimfanya aingize kiasi cha dola za kimarekani milioni 4,Mwaka 2015 Curry alifanikiwa kusaini mkataba mwingine amabao unategemewa kuisha mwaka 2024 hukun kiasi cha kusaini mkataba huo hakikuwekwa wazi.

Stephen Curry pia ana udhamini kutoka kwa makampuni mbalimbali nayo ni Chase (a bank), Kaiser Permanente (a healthcare company), Degree (a deodorant brand), JBL (speakers), MuscleMilk (protein powder), Brita (water filtration) and Fanatics (a sports brand). Na kwa mujibu wa jarida la Forbes mwaka 2016 likatoka utajiri wa Curry ambao ni $23.6m (£18.4m), na $11.6m (£9m) zinatokana na ushindi wa Golden State. Curry anaingiza fedha nyingi kutokana na matangazo na ataendelea kuingiza fedha hizo mpaka ale atakapo maliza kucheza kikapu kwa mujibu wa jarida la forbes

James (right) is worth more than Curry and has a deal with Nike for the rest of his life 

Kwa upande wa LeBron James yeye aliingia kwenye orodha ya watu 40 wa jarida la Forbes kama wajasiriamali matajiri  huku utajiri wake ukiwa ni dola za kimarekani milioni 275(£214m),Nyuma wa mwanamuziki Beyonce ambaye utajiri wake ni dola za kimarekani milioni 290.

James anaingiza kiasi kikubwa kutokana na wadhamini mbalimbali kama ilivyo kwa hasimu wake Curry huku yeye akiingiz akiasi cha dola za kimarekani milioni  $54(£42m) wakati mshahara wake katika timu yake ni dola za kimarekani milioni $23m (£18m) kwa mwaka 2016,Kma ilivyo kwa Curry Jamea ana mikataba mingi kutoka katika makampuni makubwa nayo ni Beats headphones ambayo imeuzwa kwa kampuni ya Apple kwa  bei ya £20m na mkataba na Coca-Cola, Upper Deck (trading cards), Samsung, Audemars Piguet (watches) and Dunkin’ Donuts.Kwa upande wa kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo James anaudhamini mnono kutoka kwa NIKE.The agreement James has with Nike sees him receive around £7.2m every year 

Je nani atakuwa bora kuelekea fainali ya tatu mfululizo ya NBA? hii ni zaidi ya faibnali inayo wakutanisha wachezaji wenye uwezo kifedha na uwezo uwanjani.

Dondosha comments


Share this