LIONEL MESSI AVUNJA REKODI YA BUFFON,WAKATI BARCELONA IKILIPIZA KISASI CHA MABAO MATATU

Share this

Timu ya Barcelona FC hatimaye wamelipa kisasi cha magoli 3-0 dhidi ya Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Italia ,Juventus ikumbukwe msimu uliopita Juventus waliwatoa vijana wa Now Camp kwa kuwatandika magoli 3-0 na mechi ya pili ziliweza kutosha nguvu ya bila kufunga na kibibi kizee hao walitinga Fainali ya Ligi ya Mabingwa na kuangukia pua baada ya kufungwa 4-0 toka kwa Real Madrid

Lionel Messi points to the heavens after giving Barcelona the lead against Juventus in their Champions League opener
Katika hatua nyingine Lionel Messi amefanikiwa kuvunja rekodi ya kutomfunga golikipa wa Juventus Gianlugi Buffon,Baada ya jana kufanikiwa kumfunga magoli mawili huku Ivan Rakitic akifunga oli moja,Rekodi hiyo ilikuwa ikimuuziza sana Messi na hata baada ya kufunga goli la kwanza Messi alionekana kushangilia kupita kiasi.
Luis Suarez, celebrates with Messi and new team-mate Ousmane Dembele following the Argentine's second of the night
                            Haya ndio Baadhi ya matukio katika mechi ya jana
Ivan Rakitic got the Barcelona second when he pounced on a loose ball in the Juventus box just before the hour mark 

Juventus creative forces, Miralem Pjanic and Paulo Dybala, cannot hide their disappointment as Barcelona's dominance told

Ousmane Dembele made his first appearance in the Champions League with the club he joined for £136million
Andres Iniesta, who remains in a hold out with Barcelona over a new contract, was at the centre of things against Juventus
Paulo Dybala, who destroyed Barcelona when the two sides met in the Champions League last season, is felled by Ivan Rakitic

Dondosha comments


Share this