Lukaku afungua ukurasa wa magoli Man Utd

Share this

Alfajiri ya leo Mbelgiji Romelu Lukaku amefunga bao lake la kwanza tangu ajiunge na club ya Manchester United katika mchezo wa kirafiki ambao United imecheza na club ya Real Salt Lake ya Marekani.

katika game hiyo United iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 ambapo Henrik Mkhitaryan alifunga bao lingine la United.

Bonyeza play kulitazama goli hilo lakwanza la Romelu Lukaku.


 

Dondosha comments


Share this