MAAJABU YA LIONEL ANDRES MESSI YAIPELEKA KOMBE LA DUNIA ARGENTINA

Share this

Argentina imefanikiwa kufuzu kwenda kombe la Dunia mwakani huko Russia baada ya kuibuka na ushindi mnene wa mabao matatu kwa moja huku mchezaji bora mara tano wa dunia Lionel Messi La Purga akipiga hatrick katika mchezo huo na kufikisha idadi ya hatrick 44 tangu aanze kucheza soka.

Messi is engulfed by the Argentina squad after his hat-trick took them up to third in the South American qualifying group

Jahazi la Argentina lilionekana kuzama baada ya sekunde 38 tu ya mchezo pqle ambapo Ecuador walipopata goli la kuongoz na kukiweka katika wakati mgumu kikosi cha Jorge Sampaoli,Lakini mchawi mweupe kutoka Argentina Lionel Messi aliamua kubeba mzigo wote baada ya dakika ya 12,20 na pale ambapo alikamilisha karamu ya mabao kwa mkwaju wa penati katika dakika ya 62 hivyo basi kuisaidia Taifa la Argentina kufuzu kwenda Russia mwakani.

The Barcelona forward netted twice in eight first-half minutes as Jorge Sampaoli's side turned the game on its head in QuitoMessi is engulfed by the Argentina squad after his hat-trick took them up to third in the South American qualifying groupThe Barcelona forward and Argentina skipper salutes the travelling support following the 3-1 victory over Ecuador The Barcelona forward points to the sky after scoring the goal that secured his side's qualification for next year's World CupThe Barcelona forward instantly grabbed the ball as he led the fightback for Jorge Sampaoli's side when they needed it mostDi Maria and Marco Acuna celebrate with the forward after he put them back on track to qualify for the 2018 World CupThe home side celebrate their opening goal in front of the Argentina bench. Their lead was short-lived in a dramatic first-halfMessi levelled the scores after 12 minutes following a neat-one two with former Manchester United star Angel Di MariaLionel Messi netted an incredible hat-trick to help Argentina come from behind in Ecuador and qualify for the 2018 World Cup

Dondosha comments


Share this