MBAPPE ANUSURIKA KIPIGO,NEYMAR AGOMA KUBADILISHANA JEZI KISA HIKI HAPA

Share this

Celtic imeingia matatani na Uefa baada ya shabiki wa Celtic kuvamia uwanjani wakati wa mechi na kutaka kumpiga mshambulizi mpya wa PSG, Kylian Mbappe.

Hata hivyo shabiki huyo alimkosa Mbappe na kuanza kukimbia kutoka nje baadaye akakamatwa na walinzi.
Tukio hilo lilitokea kipindi cha kwanza cha mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya huku wenyeji Celtic walipoteza kwa mabao 5-0.

Wakati huohuo mchezaji ghali duniani Neymar junior santos amegoma kubadilishana jezi na beki wa Celtic hii ni baada ya beki huyo kumchezea vibaya wakati wa mechi na yalitokea majibizano kati yake huku Neymar akionekana kumwambia kuwa aache kujibizana kwasababu wao wanaongoza magoli matatu,hata hivyo kocha wa celtic Brendan Rodgers amewalaumu wachezaji wake kwa kusema wamecheza kama vijana wa miaka 12.

Ralston looked as though he confronted PSG's other new signing Kylian Mbappe at one pointCeltic's Anthony Ralston laughs in the face of Neymar during Paris Saint-Germain's 5-0 winPSG's Marco Verratti was pictured after the game appearing to restrain the Celtic defenderNeymar then refused at full-time to swap shirts and shake hands with the Celtic defenderRalston went in strongly on Neymar a couple of times before the incident on Tuesday night

Dondosha comments


Share this