MCHEZA TENISI NAMBA 83 ATWAA UBINGWA WA US OPEN,AMFUNGA RAFIKI YAKE WA UTOTONI

Share this

Mwanadada Sloane Stephens ameshinda ubingwa wa US Open 2017 baada ya kumfunga Mmarekani mwezake Madison Keys kwa seti 6-3,6-0 katika mchezo wa fainali,Sloane mwenye umri wa miaka 24,Imekuwa kama ndoto iliyotimia pasipo kutarajia baada ya miezi michache iliyopita alikuwa namba 83 katika viwango vya ubora wa Tenesi duniani.

World number 83 Sloane Stephens wins the 2017 US Open title after a dominant straight sets victory at Flushing MeadowsStephens kissed her trophy after dominating the final where she did not give her opponent Madison Keys any chance
Cha kushangaza kutoka kwa mwanadada huyo ni amerejea uwanjani baada ya kufanyiwa upasuaji wa mguu wake miezi 6 iliyopita hata hivyo Sloane na mcheza tenisi mwenzie Madison Keys mwenye umri wa miaka 22 ni marafiki wa kutupwa na hii ilikuwa ni fainali yao ya kwanza ya Grand Slam.

The two young Americans, good friends off the court, shared a prolonged embrace following the conclusion of the match Stephens broke Madison Keys early in the second set to put herself within touching distance of the US Open title

Kizuri zaidi ni kwamba Baada ya mechi wawili hao ambao ni marafiki wa karibu zaidi tangu utotoni,wamekumbatiana na kupongezana huku familia ya mwanadada sloane ikiwa uwanjani kushuhudia fainali hiyo.US Open champion Stephens made her way into the crowd to embrace her mother who was watching from court-side Both Keys and Stephens are good friends off the court and were in good spirits before they started the match 

Dondosha comments


Share this