Pambano la Floyd Mayweather na Conor Mcgregor kuonyeshwa kwenye majumba ya Sinema

Share this

Wakati mashabiki wakiwa na miizuka ya kushuhudia nani atakalishwa kwenye pambano la Floyd Mayweather pamoja na McGregor, Good thing ni kwamba pambano hili linatarajiwa kuonyeshwa kwenye majumba ya sinema kwa wale ambao watashindwa kulipia Dola 100 kwa kila mchezo.

Mayweather x McGregor

Kitu kizuri ni kwamba mashabiki watakuwa na uwezo wa kwenda kutazama pambano hilo kwenye majumba ya Sinema na taarifa hiyo ilisibitishwa kupitia ESPN ambapo Mayweather alifunguka kwa kusema kwamba Pambano hili litakuwa na level ya kitofauti na wameamua kwamba kuwapatia mashabiki njia nyingine.

“The buzz that my fight against Conor McGregor is getting has been great already, so what better way to watch this larger than life event than on the big screen? We brought boxing back to movie theaters eight years ago and it was a huge success, But this event is on a different level and I’m so glad we are giving fans another way to see all the action. Grab your popcorn because this is a fight no one will want to miss.”

Mapambano ya nyuma ya Mayweather yalishawahi kurushwa kwenye majumba ya Sinema ila hii inatajwa kuwa kubwa kuliko.

Dondosha comments


Share this