PHILIPPE COUTINHO,SALAH NA ROBERTO FIRMINO TAYARI WARUDI MAZOEZINI TAYARI KWA KUIKABILI MAN UNITED

LIVERPOOL, ENGLAND - OCTOBER 12: (THE SUN OUT, THE SUN ON SUNDAY OUT) Liverpool players during a training session at Melwood Training Ground on October 12, 2017 in Liverpool, England. (Photo by Andrew Powell/Liverpool FC via Getty Images)
Share this

Kikosi cha Jurgen Klopp kimerudi mazoezini tayari kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu England dhidi ya Man United amabao utachezwa mapema jumamosi katika uwanja wa Anfield ambao ni uwanja wa nyumbani wa klabu hiyo.

Liverpool manager Jurgen Klopp drives into Melwood ahead of training on Thursday afternoonJurgen Klopp na wachezaji wake wameonekana wakirudi mazoezini kwa ajili ya mchezo huo ambao utakuwa mgumu kwa pande zote kutokana na nafasi waliyopo katika msimamo wa ligi kuu Englan hata hivyo kikosi cha klopp kimepata pigo la mshambualiaji wake machachari Sadio Mane kupata majeraha ambayo yatamuweka nje kwa wiki sita,Wakati wapinzani wao Man United wakiwa na rekodi ya kutopoteza hata mchezo mmoja tangu ligi kuu ianze na inashika nafasi ya pili katika msimamo wanatarajia kuendelea kumkosa Paul Pogba na Maroane Fellaini.

Liverpool sit seventh in the Premier League table ahead of the game with United in secondPhilippe Coutinho has returned from Brazil duty and is ready to face Manchester UnitedRoberto Firmino, also back from Brazil, is driven into training ahead of the Anfield showdownStriker Daniel Sturridge arrives at the Melwood training ground in his Bentley on ThursdayAlex Oxlade-Chamberlain is in contention to start for Liverpool against their old rivalsMohamed Salah was in a happy mood after helping Egypt qualify for the World Cup

 

Dondosha comments


Share this