PICHA: TAZAMA MRITHI WA CARLO ANCELOTTI ALIVYO ANZA KAZI RASMI BAYERN MUNICH

Share this

Kocha Jupp Heynckes ameanza kazi ya kuinoa Bayern Munich mpaka mwishoni mwa msimu huu Kocha huyo wa zamani ambaye aliamua kuachana na soka mwaka 2013 amerejea kuchukua nafasi ya Kocha Carlo Ancelotti ambae alifukuzwa kutokana na matokeo mabaya.
TAKWIMU ZAKE
1987-91: P198 W113 D46 L39 W%57.1
2009: P5 W4 D1 L0 W%80
2011-13: P109 W83 D12 L14 W%76.2
TOTAL: P312 W200 D59 L53 W%64.1
HONOURS: Bundesliga x3 (1989, 1990, 2013), German Cup (2013), Champions League (2013)

 

 

 

 

 

 

 

 

Dondosha comments


Share this