Picha: Zlatan Ibrahimovic mambo mukide

Share this

Baada ya Operation kumalizika salama, Zlatan tabasamu nje nje huko Miami.

Jeraha hilo la goti kwa Zlatan, alilipata kwenye mchezo wa Man United Europa League hatua ya robo Fainali dhidi ya Anderlecht ya nchini Ubelgiji, nyota huyo wa Man United ameonekana kwa mara ya kwanza pichani akiwa Miami na washikaji zake amepumzika tangu kuumia goti lake.

Zlatan Ibrahimovic relaxes by the pool as he continues his knee injury recovery

Kwenye picha Zlatan ameonekana akiwa na kibandeji kidogo baada ya ogo lake kutolewa, huku akiwa na nyuso yenye tabasamu, akiwa ametulia kwenye kiti pembezoni na Swimming pool.

The Swede was all smiles despite uncertainty over his future at Manchester United

The Swedish striker has got rid of his leg brace but his knee is swollen and bandages are visible

Ibrahimovic says he will be back 'stronger' as he relaxed with pals in Miami

 

Dondosha comments


Share this