PICHA:MWANAMAMA AMBRA VALLO AMFANYISHA MAZOEZI YA YOGA JOHN TERRY

Share this

BEKI wa zamani wa kimataifa wa England John Terry anafanya mazoezi ya Yoga kujiweka fiti kwa ajili ya msimu huu wa Ligi ya Championship akiwa na Aston Villa,chezaji huyo aliyesaidia Chelsea kutwaa taji la Ligi Kuu ya England mssimu uliopita ameposti picha tano akifanyishwa mazoezi ya Yoga na mwalimu wa kike Ambra Vallo.

Baada ya kucheza Chelsea kwa maisha yake yote John Terry ametua Villa kumalizia soka lake la kulipwa ikumbukwe kuwa John Terry kwa mara ya kwanza alitua The Blues akiwa kijana mdogo mwaka 1995 akiwa ana umri wa miaka 15 akitokea akademi ya West Ham na kumaliza kandarasi yake msimu uliopita.

Dondosha comments


Share this