PICHA:TAZAMA MAPOKEZI YA MABINGWA WA KIHISTORIA WA LA LIGA,NI MARA YA 33

Share this

Mabingwa wa La Liga, Real Madrid wamepokelewa kwa shangwe kubwa jijini Madrid baada ya rasmi kulibeba kombe hilo katika mechi ya mwisho ya msimu.
Katika mechi hiyo, Madrid ilichomoka na ushindi dhidi ya Malaga kwa mabao 2-0 na kutwaa ubingwa dhidi ya Barcelona waliokuwa wakifukuzana nao kwa kasi.
Mashabiki walijitokeza kwa wingi kuwalaki Madrid wakati wakiwasili katika mitaa ya jiji la Madrid ambalo ni kubwa zaidi kuliko mengine yote nchini humo.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Dondosha comments


Share this