PICHA:ULIPOFIKIA UJENZI WA UWANJA WA TOTTENHAM,NI UWANJA MKUBWA KULIKO YOTE LONDON

Share this

Ujenzi wa kiwanja kipya cha White hart lane umefikia katika hali nzuri baada ya wajenzi wa uwanja huo kufanya kazi kwa haraka ili kuweza kumaliza uwanja huo kwa wakati na utumiwe na klabu hiyo yenye makazi yake jijini London.

Progress continues to be made on Tottenham's new 61,559-seater stadium ahead of the start of the 2018-19 campaign

Wakati ujenzi huo ukiendelea uwanja huo utakuwa ndio uwanja mkubwa kati ya timu zinazo toka katika jiji la London huku ukiupita uwanja wa mahasimu wao EMIRATES STADIUM ambao unatumiwa na klabu ya Arsenal.

Image result for emirates stadium

kupitia ukurasa wa Twitter wa Totteham hostpurs wamesema wanafuraha kuona uwanja huo utakuwa wa kwanza kwa kuingiza watu wengi London kwanutakuwa unaingiza watu 61,559 huku ule wa Emirates ukiingiza 60,000

 

Tottenham have provided fans with regular updates on the progress of their new stadium with weekly posts on Twitter

A photo from outside shows significant progress has been made on what will be London's biggest club football groundTottenham's official Twitter account posted an image of the view supporters will see walking out to the new White Hart LaneSpurs are playing home matches at Wembley this season while they wait for the new state-of-the-art ground to be completedA builder works on the new ground as cranes cover the site of the old White Hart Lane where Tottenham played for 118 years

Dondosha comments


Share this