PICHA:WAKATI UNITED WAKIANZA MAZOEZI KUELEKEA FAINALI,AJAX WAFIKA SALAMA NCHINI SWEDEN

Share this

Vikosi vya timu mbili ambazo kesho zitashuka dimbani katika fainali ya Europa league vimefika salama nchini sweden na bila kupoteza muda kikosi cha Mourinho kimeanza mazoezi kuelekea mchezo huo wa fainali.

 

United were preparing to fly to Stockholm but cancelled a press conference, which had been scheduled for TuesdayUnited will still take on Ajax despite the harrowing events at the Manchester Arena on Monday nightThe Manchester United squad were put through their paces ahead of the Europa League final against Dutch club Ajax

wakati huo huo kikosi cha Ajax kimeonekana kujiamini mno baada ya kuonekana kuwa na nyuso za bashasha wakiwa kwenye ndege kabla ya kutua katika jiji la Stockholm.

 

Dondosha comments


Share this