PICHA:ZILIPOFIKIA SHEREHE ZA UBINGWA WA REAL MADRID

Share this

 

Madrid wameendelea kusherekea ubingwa wao wa La Liga na safari hii wakiungana tena na mashabiki wao pamoja na Meya wa jiji la Madrid, Manuela Carmena.
Sherehe hizo zimefanyika katika ya jiji la Madrid wachezaji wa kikosi hicho wakiwa wanaongozwa na Cristiano Ronaldo na nahodha Sergio Ramos walikuwa wamevaa sare ya suti kwa pamoja.

 

 

 

 

 

 

 

Dondosha comments


Share this