SHABIKI ALIYE MKUMBATIA WAYNE ROONEY UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM AFUNIKA MITANDAO MIKUBWA DUNIANI

Share this

Baada ya klabu ya Everton kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Gor mahia ya Kenya na kushuhudiwa na watazamaji wengi katika uwanja wa Taifa jiji dar es salaam huku mshambuliaji mkongwe ambaye amejiunga na klabu hiyo akitokea Man United Wayne Rooney akipachika bao moja katika dakika ya 35 ya mchezo kwa mkwaju mkali huku goli la Gor mahia likifungwa na Meddie Kagere.

Sasa kitu kizuri na kikubwa zaidi ni Mitandao mikubwa duniani ikiweo Daily Mail, skysport,The sun na mingineyo imeripoti taarifa hiyo huku wakitumia picha ya tukio ambalo lilitokea wakati mchezo ukiendelea baada ya shabiki mmoja aliye valia jezi ya Man United kuvamia uwanjani na kwenda kumkumbatia Wayne Rooney.

A supporter wearing a Manchester United shirt ran on the pitch during the game to hug the England striker

lakini maofisa wa polisi walimtoa haraka shabiki huyo na kumuweka chini ya ulinzi huku shabiki huyo akionekana kushangilia kwa kutimiza ndoto zake za kumkumbatia Rooney.

Police officers followed the supporter onto the pitch as he got his chance to hug the 31-year-old striker

Dondosha comments


Share this