SIKU KAMA YA LEO MWAKA 2011 ARSENAL WALIKUTANA NA JANGA KUBWA KATIKA JIJI LA MANCHESTER

Share this

Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amejikuta yupo katika wakati mgumu baada ya jana kushuhudia kikosi chake kukubali kichapo cha mbwa mwizi cha mabao 4-0 kutoka kwa majogoo wa jiji liverpool.

Image result for arsenal losses

Kocha huyo anaingia katika rekodi mbaya na muendelezo wa matokeo mabaya baada ya kupokea vichapo viwili mfululizo kutoka kwa stoke city na kichapo cha aibu kutoka kwa Liverpool ambao katika mchezo wa jana walimiliki sehem kubwa ya mchezo huku kikosi cha Wenger kikishundwa kupiga ahata shuti moja golini.

Image result for arsenal losses

Kutokana na kichapo hiko cha mabao 4-0 kimetukumbusha mwaka 2011 siku kama ya leo Arsenal ilikubali kichapo kikubwa zaidi cha mabao 8-2 kutoka kwa Mashetani wekundu Manchester United na inabaki kuwa historia mbaya katika kikosi cha Wenger

Image result for arsenal losses

Dondosha comments


Share this