‘Tanzania, ndio itakuwa nafasi nzuri kujuana na wachezaji wenzangu’ Rooney

Share this

Akiwa mazoezini katika klabu yake mpya ya Everton akitokea Man United, Wayne Rooney amefunguka kwamba nafasi ambayo wameipata kuja Tanzania ndio nafasi aambayo atatumia kuwajua vizuri wachezaji awenzake wapya.

Kama upo karibu na kurasa ya Twitter ya Klabu ya Everton, Wayne Rooney alinakiliwa maneno yake hayo na kupostiwa katika klabu hiyo ambapo timu hiyo inatarajiwa kushuka dimba la Tanzania kupitia SportPesa.

Dondosha comments


Share this