Tazama LIVE Fainali ya FA Cup, Arsenal vs Chelsea hapa

Share this

Leo May 27 ndio siku ambayo inachezwa fainali ya kombe la chama cha shirikisho la mpira wa miguu nchini England, FA Cup na fainali hiyo inazikutanisha timu za Arsenal vs Chelsea katika dimba a Wembley jijini London.

Unachotakiwa kufanya ni kubonyeza maandishi mekundu hapa chini ili uweze kuutazama LIVE mchezo huo.

Arsenal vs Chelsea (LIVE)


 

Dondosha comments


Share this