Tazama LIVE mechi ya Atletico Madrid vs Real Madrid hapa

Share this

Mchezo wa marudiano wa nusu fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya unaozikutanisha timu kutoka katika jiji la Madrid unapigwa tena leo.

Ikiwa mchezo wa kwanza ulimalizika kwa Real kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 huku Cr7 akiwa kama nyota wa mchezo kwa kupachika vyuma vyote vitatu, unahisi kipi kitajiri leo hii?

Perfect255 inakupa fursa ya kuutazama LIVE mchezo huo, unachotakiwa kufanya ni kubonyeza maandishi mekundu hapa chini.

Atletico Madrid vs Real Madrid (LIVE)


  • Kauli ya Ruge Mutahaba kuhusu kufanikiwa kwa Diamond Platnumz

Dondosha comments


Share this