Tazama LIVE Mechi ya Manchester United vs Crystal Palace hapa

Share this

Ikiwa leo May 21 ndio siku ya mwisho ya ligi kuu ya soka nchini England ni jumla ya michezo 10 ambayo inatarajiwa kuanza ifikapo saa 11 kamili kwa saa za Afrika mashariki.

Michezo ambayo itazihusisha timu zote 20 za ligi hiyo ikiwa Manchester United yuko nyumbani kwake akimkaribisha Crystal Palace.

Perfect255 inakupa fursa ya kuutazama LIVE mchezo huo kwa kubonyeza maandishi mekundu hapa chini.

Manchester United vs Crystal Palace (LIVE)


 

Dondosha comments


Share this