Tazama LIVE mechi ya Real Madrid vs Manchester United hapa

Share this

Katika kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu katika mataifa mbalimbali barani Ulaya, kila klabu inajikita katika michezo ya kirafiki ili kupima vikosi vyao na kuangalia mapungufu kwa michezo hii ya pre season.

Club ya Manchester United na Real Madrid ziko nchini Marekani na leo hii zinakutana katika mchezo wa International CHampions Cup North Amerca.

Perfect255 inakupa nafasi ya kuutazama LIVE mchezo huo kwa kubonyeza maandishi mekundu hapa chini.

Real Madrid vs Manchester United (LIVE)


 

Dondosha comments


Share this