Tazama LIVE mechi ya Stoke City vs Arsenal hapa

Share this

Game ya mwisho kuchezwa leo May 13 katika ligi kuu nchini England ni hii hapa inayozikutanisha Stoke City na Arsenal katika dimba la bet365.

Game ambayo ni muhimu sana kwa Arsenal kuibuka na ushindi ili kuweza kusalia katika mbio za kuwania nafasi ya kushiriki UEFA Champions League msimu ujao.

Perfect255 inakupa nafasi ya kuutazama LIVE mchezo huo, unachotakiwa kufanya ni kubonyeza maandishi mekundu hapa chini.

Stoke City vs Arsenal (LIVE)


  • #Freestyle: CHeki Rayvanny alivyoumiza kwenye beat ya “Up in the Air” ya Rosa Ree

Dondosha comments


Share this