PICHA:ULINZI MKALI WAIMARISHWA FRIENDS ARENA KUELEKEA FAINALI YA EUROPA LEAGUE KESHO

Share this

Kuelekea mchezo wa fainali ya Uefa europa league kati ya Manchester United dhidi ya Ajax utakao fanyika kesho katika jiji la Stockholm  nchini Sweden,Maofisa wa ulinzi wa nchi hiyo wameonekana kuimarisha ulinzi katika maeneo mbali mbali ya jiji hilo baada ya kuwa na hofu ya tukio la kigaidi kama lililotokea nchini wingereza katika jiji la Manchester.

United will qualify for the Champions League if they beat Ajax and win the Europa League

Wakati huo huo wachezaji na benchi la ufundi la United limeomboleza kwa wale ambao wamepatwa na shambulio la mlipuko usiku wa jana katika show ya mwana muziki Ariana Grande.Police patrol the outside of the Friends Arena in Stockholm ahead of the Europa League final on WednesdayAdditional security measures were put in place around the perimeter of the Friends Arena in the Swedish city on Tuesday

United players' cars were searched by security officials on their way into training at the Carrington facilityWorkers construct temporary security barriers outside the stadium in the Swedish city

A police van is pictured at the bottom of steps leading up to the Friends Arena on Tuesday morning

Dondosha comments


Share this