UNAMKUMBUKA MCHEZAJI HUYU? AMEHUKUMIWA KWENDA JELA HUKO HISPANIA

Share this

Beki wa zamani wa Chelsea na Real Madrid, Ricardo Carvalho amehukumiwa kwenda jela miezi saba,Carvalho amekutwa na kosa la kukwepa kodi na kuhukumiwa kwenda jela miezi saba nchini Hispania.

Image result for ricardo carvalhoBeki huyo aliyeichezea Chelsea na pia timu yake ya taifa ya Ureno, anaonekana atafanya kila linalowezekana kukata rufaa kutokana na hukumu hiyo
Taifa la Hispania limekuwa limeonekana kutokuwa na utani katika swala la ulipaji kodi kwakuwa sio Carvalho tu bali hata Christiano Ronaldo,lionel Messi na hata kocha mbwatukaji Jose Mourinho wote kwa pamoja wamekumbana na panga la kupele kwa mahakamani kwa ajili ya ukwepaji jodi.
Image result for ricardo carvalho

Dondosha comments


Share this