USHINDI WA UNITED WAISHUSHA LIVERPOOL KILELENI MWA MSIMAMO WA KLABU ZILIZOBEBA MATAJI MENGI ENGLAND

Share this

Manchester United imefanikiwa kubebea kombe la Europa League kwa mara ya kwanza baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ajax jana katika uwanja wa Friends Arena nchini Sweden.

Kwa ubingwa huo sasa united imeishusha klabu ya Liverpool katika nafasi ya kwanza kwa timu zinazo ongoza kwa kubeba Idadi kubwa ya makombe nchini England baada ya kufika idadi ya makombe 42 huku liverpool ikibaki na makombe 41.

Dondosha comments


Share this