Video: Cheki unyama wa mtoto wa Lebron James ‘Bronny’ kwenye Basketball kitaani

Share this

Kama baba kama mtoto, sijui utamgusa nani na wote wanawasha moto, mtoto wa Lebron James, Bronny aonyesha unyama wa kucheza kikapu kwa wenzake kitaani.

Kupitia clip ambayo imechukuliwa na moja ya washikaji wa Bronny, inamwonyesha akwamba Bronny alikuwa akicheza kikapu na washikaji wa kitaani ambao aliwakuta na kuamua kujumuika nao pamoja kwa kuonyesha maunyama ya kutosha.

Dondosha comments


Share this