Video: Daah, ila Pogba..

Share this

Wakati Wayne Rooney akiwa ametua katika dimba la Everton huku Lukaku akiwa ameshajiunga na mashetani wekundu, Paul Pogba na Lukaku watakuwa na mkao mmoja hivi hatari sana katika msimu ufuatao wa Premier League.

Good Newz ni kwamba wawili hao wamekuwa pamoja wakila bata huku wakileta matatizo mengi huko US, wakiwa na mahojiano na reporter wa ESPNAlexis Nunes wakicheza mchezo wa rock, scissors, paper, Paul Pogba ameonekana akimsukumiza reporter huyo ndani ya swiming pool kwa kile kilichoonekana alishindwa mchezo huo.

Dondosha comments


Share this