Video: Sio utamu wa dakika 90 tu, Paul Pogba aonyesha ufundi wa Kucheza kikapu

Share this

Achana na ishu ya Kudab na kukimbiza uwanjani kwa uwezo wake wa Soka, Paul Pogba aamua kutonyesha uwezo wake mwingine wa kucheza kikapu baada ya kumfunga nyota Joel Embiid katika mchezo wao wa One on One.

Image result for Joel Embiid

Nyota huyo wa Manchester United alikinukisha na nyota kutoka Philadelphia 76ers Joel Embiid ambapo Pogba alionekana akimshinda nyota huyo na baada ya hapo Paul Pogba akagoma kuendelea na mchezo huo kutamba kuwa yeye ni mshindi.

Kupitia kurasa yake ya Twitter Paul Pogba alishare kipande cha video ambacho alivyomchapa Joel Embiid

 

Dondosha comments


Share this