WATOTO MAPACHA WAMSHAWISHI CHRISTIANO RONALDO KUFUTA MAWAZO YA KUHAMA REAL MADRID

Share this

Kwa mujibu wa gazeti la AS REPORT la nchini Hispania limesema Mchezaji bora mara nne wa dunia Christiano Ronaldo amebadilisha maamuzi ya hapo awali ya kutaka kuhama katika klabu ya Real Madrid kutokana na kesi iliyo kuwa iki mkabili ya ukwepaji kodi zaidi ya euro millioni 12.9.

wakati hayo yakiendelea mchezaji huyo alikutana kwa siri na Raisi wa klabu ya PSG Nasser Al-Khelaifi,masaa machache kabla ya fainali ya klabu bingwa ulaya dhidi ya Juventus

Ronaldo's Portugual side were eliminated by Chile in the Confederations Cup semi-finals

Lakini kwa mujibu wa jarida la AS REPORT limesema mchezaji huyo namba moja kwa umaarufu duniani amebadilisha mawazo yake ya kuhama Madrid baada ya kushawishiwa na uongozi wa klabu hiyo huku wakimhakikishia kuwa yupo kwenye mipango ya muda mrefu katika klabu hiyo.

Spanish outlet AS headline the Sunday edition of their newspaper with 'Cristiano is relaxing'

Taarifa za ndani kutoka kwa mchezaji huyo zinasema Raisi wa Real Madrid Florentino Perez amemuomba mchezaji huyo asiondoke katika klabu hiyo na inasemekana amemuhakikishia kumaliza kesi hiyo ya ukwepaji kodi,huku pia mchezaji huyo akionekana kukubaliana na ombi hilo kutokana na kufanikiwa kuapata watoto wawili mapacha kutoka kwa manamke ambaye hakuwa si mchumba wake.

Cristiano Ronaldo posted this photo on Instagram showing him relaxing with his three children

Wakati huo huo kikosi cha Madrid kinatarajiwa kurudi kesho jumatatu kwa ajili ya kuanza maandalizi ya msimu mpya,huku Ronaldo akitarajiwa kupewa siku za mapumziko hadi mwisho wa mwezi july

 

Dondosha comments


Share this