Wenger ampiga Pini Sanchez kuondoka Arsenal

Share this

Kufuatia taarifa za kuhusishwa kuondoka katika club ya Arsenal kwa mshambuliaji wa kimataifa wa Chile Alexis Sanchez, limetoka tamko rasmi kuhusu mustakabali wa mshambuliaji huyo klabuni hapo.

Kocha wa club hiyo ya Arsenal Arsene Wenger amefunguka kuwa Sanchez hawezi kuondoka katika club hiyo kwa kpindi hiki kutokana na uhitaji wake klabuni hapo katika msimu ujao.

Japo kuwa Sanchez amebakiza mkataba wa miezi 12 tu katika club hiyo, Wenger ameendelea kutilia mkazo kauli yake ya kwamba Sanchez hauzwi.

Dondosha comments


Share this