ALICHOKISEMA DJ KHALED KUHUSU EMINEM NA ADELE KUWEPO KWENYE ALBAM YAKE MPYA

Share this

Licha ya kufanya vizuri na Albam yake ya GREATFUL msanii Dj Khaled hategemei kusimama licha ya album yake hiyo kupata mafanikio makubwa na kufikia mauzo ya platnum.

 

Dj Khaled alizungumza katika kipindi cha mahojiano kinacho fahamika kama Rap-Up, mkali huyo amesema kwa sasa anakomaa kuwapata Eminem na Adele kwenye miradi yake ijayo,Msanii huyo ambaye anasifika kwa kuwa na matumizi mazuri ya social media na kufanikiwa kupewa tuzo huku akisifika pia kuwa na uhusiani mzuri na wasanii mbalimbali ambao huwa anawatumia katika kufanikisha mziki wake akiwemo P Didy na Jay z.

Aliongeza kwa kusema kuwa ni muda amekuwa akisotea collabo hiyo na kwamba yupo karibu na Eminem na akiweza kumpata Adelle alafu wakae kwenye wimbo mmoja itakuwa balaa tupu.

 

 

Dondosha comments


Share this