Baada ya “Saratina” Eric Omondi katuletea The Gods are not crazy We Are!! (The Gods must be Crazy)

Share this

Mchekeshaji maarufi nchini Kenya Eric Omondi ameendeleza utaratibu wake wa kuzivunja mbavu za watu kwa kuleta mfano wa movies ambazo ziliwahi kuvuma sana kipindi cha nyuma.

Wiki chache zilizopita alituletea Saratina ikiwa ni kama mfano wa movie ya Sarafina, movie ambayo iliumiza sana kipindi cha nyuma ikiwa inaelezea harakati za kumkomboa mtoto wa kiafrica.

Leo hii amekuja na ile iliyofahamika kwa jina la The Gods must be crazy.Tokeo la picha la the gods must crazy

Lakini yeye kaipachika jina la “The Gods are not crazy We Are!!”. Nimeivuta hapa ili uweze kuenjoy nayo. Bonyeza play kwenye video hii hapa chini


  • Utakuacha hoi huu utani wa Mboto kwa club ya Yanga

Dondosha comments


Share this