Cassper Nyovest – Baby Girl [New Video]

Share this

Mwanzilishi wa Family Tree Cassper Nyovest ameachia video mpya ya ngoma yake mpya inayoitwa “Baby Girl” ikiwa ni moja ya ngoma zake kwenye album yake ya 2017 inayoitwa “Thuto”.

WAWEZA KUITAZAMA HAPA, PIA USISAHAU KUSHARE

 

Dondosha comments


Share this