HUU NDIO USAJILI ULIOFANYWA NA KLABU KUBWA BARANI ULAYA NDANI YA WIKI HII

Share this

1.Barcelona imekamilisha usajili wa beki wa kulia Nelson Semedo kutoka Benfica kwa mkataba wa miaka mitano.
Wacatalunya hao wamemchukua Mreno huyo mwenye umri wamiaka 23, kwa kiasi cha Pauni milioni 30 kwa ajili ya kuongeza nguvu katika safu ya ulinzi ya timu hiyo.

Nelson Semedo aims sly dig at Man Utd after joining Barcelona

2.Man City imekamilisha usajili wa beki wa kulia Kyle Walker kutoka Tottenham kwa ada ya pauni milioni 50 huku akisaini kandarasi ya miaka mitano kuitumikia klabu hiyo ambayo ipo chini ya kocha Pep Gurdiola ambaye yupo kwenye mipango thqbiti ya kukijenga kikosi cha Man City.

<!– [if IE 9]><![endif]–> Kyle Walker after his signing for Manchester City.
3.Chelsea wamewapa ruksa Nemanja Matic na Diego Costa kutosafiri na timu kwenda kwenye ziara ya maandalizi ya msimu huko Mashariki ya Mbali. Hatua hii inakuja ili kuwapa muda wachezaji hao kukamilisha uhamisho wao wa kuondoka ndani ya Chelsea.
Image result for matic and costa
4.Leornardo Bonucci amewasili jijini Milan kukamilisha uhamisho wa kujiunga na AC Milan akitokea Juventus kwa ada ya uhamisho wa pauni £35m
Image result for bonucci to ac milan
5.Galatasaray imelipwa na Wesley Sneijder kiasi cha €4.5m zaidi ya billioni 10 za kitanzania ili kusitisha mkataba wake na klabu hiyo ya Uturuki sneijder sasa ni mchezaji huru.
Image result for wesley sneijder
6.Klabu ya Lyon imekamilisha Usajili wa Beki Marcelo Guedes kutoka Besiktas kwa Ada ya €7M.
Image result for marcelo guides complete transfer to lyon
8.Klabu ya Aston Villa Imemsajili GoliKipa Sam Johnstone kwa Mkopo Kutoka Manchester United.
Image result for sam johnstone to aston villa
9.Klabu ya Watford Imekamilisha Usajili wa Nathaniel Chalobah Kutoka Chelsea kwa Mkataba wa Miaka Mitano.
Image result for Nathaniel Chalobah to watford
10.Klabu ya Hoffeinham Imemsajili Serge Gnabry Kutoka Bayern Munich kwa Mkopo.
Image result for serge gnabry

Dondosha comments


Share this