JE LITAKUWA PIGO KWA PSG?BAADA YA NEYMAR KUPATA MAJERAHA KATIKA MAZOEZI YA TIMU YA TAIFA

Share this

Nyota wa Paris Saint-Germain, Neymar Junior akiugulia maumivu ya kidole gumba wakati wa mazoezi ya timu yake ya taifa, Brazil jana kujiandaa na michezo ya kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Bolivia na Chile japokuwa wameshakata  tiketi ya michuano hiyo ya Urusi mwakani

Neymar appears to be in pain as he grimaces after unveiling a bandage toe of his left footBrazil's Paulinho jokes with team-mate and PSG star Dani Alves during the practice sessionManchester City's Gabriel Jesus shows plenty of enthusiasm as he chases the ball aroundNeymar stands alongside his club team-mate Thiago Silva and Barcelona star PaulinhoBut the Paris Saint-Germain forward still managed a smile as he trained with the Brazil teamGabriel Jesus tweeted a photo as he reunited with his Brazil team-mate Neymar on Monday

Dondosha comments


Share this