KASHFA NYINGINE YAMKUTA KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA WANAKE YA ENGLAND

Share this

Kocha mkuu wa timu ya aifa ya wanawake Mark Sampson’s amezidi kupata wakati mgumu katika kambi ya timu hiya baada ya picha tofauti za leo wakati timu hiyo ikiwa mazoezini zikionyesha mchezaji Lucy Bronze’s akikataa kushikwa bega na kocha huyo na bado aija juliakana chanzo ni nini kilichofanya mchezaji huyo kukataa kushikwa bega na kocha wake.

Bronze appears to shrug off England boss Sampson during Tuesday's training session

Kambi ya timu ya taifa ya Wanawake ya England chini ya kocha wake Mark Simpson ambaye ameingia kwenye kasha mbaya ya ubaguzi wa rangi kwa mchezaji wa timu hiyo mwenye asili ya Nigeria Eni Aluko,Hata hivyo inasemekana mchezaji huyo alilipwa kiasi cha pauni 80000 na FA ili asitoe taarifa yoyote kwa vyombo vya habari.

Eni Aluko has accused of Sampson of racism and bullying during her time with EnglandKwa tukio hili la leo inasemekana bado kambi ya timu ya taifa ya Wanawake ya England bado aijatulia kutokana na matukio mbalimbali ynayo muhusisha kocha mkuu,timu hiyo ipo kwenye maandalizi ya kucheza mechi za kufuzu kombe la dunia la wanawake nchini Russia 2019.

Sampson keeps his eyes fixed on Bronze as she moves away from him at St George's ParkThe England women boss speaks to his players in training as they prepare to face Russia

Dondosha comments


Share this