LIVERPOOL NI KAMA GARI LA MKAA,COUTINHO AIBEBA APIGA BAO LA KUCHOMOA

Share this

Pasi nzuri ya Sadio Mane kwenda kwa Phillipe Coutinho imeisaidia Liverpool kuepusha aibu ya kipigo na kupata sare ya 1-1 dhidi ya Spartak Moscow katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Liverpool tayari ilishalala baada ya Fernando kuanza kupachika goli katika dakika ya 23 lakini Coutinho akafunga na timu kwenda mapumziko zikiwa sare ya 1-1 Sare hiyo iliendelea kudumu hata baada ya mapumziko na hadi mwisho mwamuzi alipopuliza filimbi ya mwisho.

Spartak Moscow (5-4-1): Rebrov (Selikhov 68); Eshchenko Kutepov, Tasci, Bocchetti, Dzhikiya; Fernando, Pasalic, Samedov (Pedro Rocha 90), Popov (Melgarejo 84); L. Adriano

Subs not used: Petkovic, Bakaev, Samsonov, Davydov,
Goals: Fernando 23
Yellow cards: Bocchetti 46
Liverpool (4-3-3): Karius; Alexander-Arnold, Lovren, Matip, Moreno; Henderson, Can (Wijnaldum 73), Coutinho; Salah, Mane (Sturridge 70), Firmino
Subs not used: Mignolet, Flanagan, Klavan, Milnr, Oxlade-Chamberlain
Goals: Coutinho 30
Yellow cards: Can 7, Firmino 75
Referee: Clement Turpin

Dondosha comments


Share this