MARAFIKI WAWILI WATAKAPO GEUKA MAADUI KWA DAKIKA 90 ,NI BWANA HARUSI NA BESTMEN WAKE

Share this

Kikosi cha Jurgen  Klopp kesho kitaumana na wababe wa Manchester United timu ya Huddersfield town inayo ongozwa na kocha David Wagner,Mchezo huo utakao pigwa majira ya saa 11 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Wagner has known Klopp longer than his wife, and the Reds boss was best man at his wedding

Wagner is quick to leap to the defence of his best friend when Klopp comes in for criticismSasa usichokifahamu kuelekea mchezo huo ni kwamba kocha Klopp na Wagner ni marafiki wa karibu mno wa muda mrefu,hii ni kutokana na ukaribu wao tangu wapo vijana na hata kocha Wagner alikuwa msimamizi wa ndoa ya Klopp,kingine kikubwa ni kwamba makocha hao wawili wamewahi kufanya kazi pamoja huko ujerumani wakati Klopp akiwa mwalimu wa kikosi cha Dortmund huku Wagner akiwa kocha w kikosi cha pili cha Dortmund.

This weekend, the pair will meet competitively for the first time in English footballAkizungumza na mtandao wa Daily mail kocha Wagner amesema anamfahamu vizuri klopp kuliko hata mkewe kwakuwa wamejuana sio chini ya miaka 25,kesho itakuwa ni vita ya bwana harusi na best men wake.

Jurgen Klopp (left) and David Wagner embrace ahead of  a pre-season clash back in July

Dondosha comments


Share this