MSANII 21 SAVAGE AMEFANIKIWA KUSHUSHA NDEGE KWA MARA YA KWANZA AKIWA NA MPENZI WAKE AMBER ROSE

Share this

Kwa muda mrefu Sana 21 Savage amekuwa akijifunza kuendesha ndege na kuposti matukio kwenye mitandao ya kijamii, Sasa Unaambiwa kwa mara ya kwanza 21 savage amefanikiwa kuishusha Private Jet huku akiwa na Mpenzi wake Amber Rose.

Image result for 21 savage in plane

Kupitia Posti yake ambayo aliiweka na kuifuta, ilikuwa inamwonesha 21 Savage akiwa na Muongozaji wake, Huwezi amini 21 Savage akatulisha hiyo Private Jet vizuri kabisa,
Mafunzo yake alikuwa anayapiga ni ya Miami na Florida, kuipaisha ndege na kuishusha, sema mpango mzima kama Amber Rose alikuwa muoga kweli, kwasababu kuna muda simu ya 21 ilikuwa inaita, Amber Rose akaiwahi fasta kuogopa mshikaji asije ipindua.

Related image

Image result for 21 savage in plane

Good Thing pia, 21 Savage na Post Malone pia wameshaaanza kushoot video ya wimbo wa ROCK STAR.

Related image

Dondosha comments


Share this