MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA ZASABABISHA ABIRIA KUTO KUINGIA NA KUTOKA NJE YA DAR

Share this

Mvua zinazoendela kunyesha sehemu tofauti nchini leo zasababisha abiria wanaosafiri kutoka mmikoani wanaotumia Morogoro road kuingia jijini Dar es Salaam kusimama kwa muda kutokana na daraja la Kibaha mpakani kujaa maji hivyo kusababisha kukata kwa mawasiliano kati ya dar na mikoa mingine kama vile Morogoro, Arusha, Mwanza na Dodoma..

Angalia vidwo fupi hapo chini ikionyesha daraja hilo lilivyojaa maji.

Dondosha comments


Share this