NEW VIDEO SARKODIE FT KOREDE BELLO- FAR AWAY

Share this

Rapper mkubwa kutoka Afrika magharibi nchini Ghana, “Sarkodie” ameachia video yake mpya aliyomshirikisha “Korede Bello” kutoka record label ya Mavins.

video imetengenezwa chini ya Director Sesan, bofya hapo chini kuitazama.

USISAHAU KUSHARE NA KUDONDOSHA COMMENT YAKO

Dondosha comments


Share this