OfficialVdeo: Naj wa BANA Music ameileta hii “Utanielewa” Itazame

Share this

Baada ya kumaliza mkataba na MJ Records, kutoka BANA Music, Naj Dattan amerudi tena kwenye game na ujio wake mpya ni ngoma ambayo ameipa jina la Utanielewa.

Audio ameidondosha kitaani rasmi mchana wa jana kupitia XXL ya Clouds fm, ila video ndio hii hapa ambayo nimekusogezea uweze kujiachia nayo. Enjoy


 

Dondosha comments


Share this