OfficialVideo: A.K.A – Caiphus Song

Share this

Kutoka South Africa, mmoja kati ya marapper wenye heshima kubwa sana nchini humo ni huyu hapa A.K.A, ambaye masaa machache yaliyopita amedropisha chupa la ngoma yake mpya iliyopewa jina la Caiphus Song.

Bonyeza play kwenye video hii hapa chini ili uweze kuenjoy nayo mwanzo mwisho.


  • Kingine cha kufahamu kuhusu eneo walilopatia ajali Wanafunzi wa Lucky Vicent

Dondosha comments


Share this