OfficialVideo: Adam Mchomvu – Shughuli

Share this

Ilikuwa kama zawadi kwa wanaMbeya siku ya jana ambao walikuwa wakiruka na kitu cha Jiwe la mwezi pande hizo, huku Billnass akisimama na ngoma yake ya Mazoea.

Ni official video ya ngoma mpya ya Baba la Baba AD+ Adam Mchomvu inayoitwa Shughuli, bonyeza kitufe cha play kwenye video hii hapa chini ili uweze kuitazama.


 

Dondosha comments


Share this